Alhamisi, 9 Februari 2017

MAZINGIRA YA WANAFUNZI WA ERETO ACADEMY SCHOOL WAKIWA DARASANI

Hili ni darasa la Baby class.

Wanafunzi wakinywa uji.


Baadhi ya Wanafunzi wakiwa mapumziko.

Ziara ya wanafunzi wa Pre-Form one Makumbusho ya Taifa Arusha

Hii ni moja kati ya ziara za kimasomo inayoandaliwa na shule ya ERETO Academy School. kwenye picha hii wanafunzi walitembelea makumbusha ya Taifa mkoani Arusha na kujionea na kujifunza mambo mengi ya kale na maisha ya wanyama kwa ujumla.

TAZAMA PICHA MBALI MBALI ZA ZIARA IYO HAPA CHINI:


PICHA ZINGINE ZITAKUJIA MUDA SIO MREFU
 

Jumanne, 17 Januari 2017

TANGAZO LA SHULE YA AWALI

Ereto Academy School Inawatangazia wazazi/Walezi wote wenye watoto waliofikia umri wa kuanza shule ya awali kuanzia miaka miwili na nusu hadi mitano kuwa shule yetu inatoa fursa ya masomo ya awali kama ifuatavyo:


  • baby class kwa mwaka mmoja
  • Kindergarten kwa mwaka mmoja
  • Pre- Unit kwa mwaka mmoja
  • Primary school kuanzia darasa la kwanza hadi la saba


  • Pia tunafundisha masomo ya QT na PC
  • English Course na Computer
  • Tuition kuanzaia shule za msingi hadi sekondari

Shule ilipo: Shule ipo Kimandolu kwa Mwalimu BIBI MOLLEL - KIMANDOLU mkabala na Klub Afriko Tours juu kidogo ya bata mkali.

Kauli mbiu: "AMINI KUFIKIA MAFANIKIO YA KIELIMU"

Mawasiliano: 0759 060903/ 0755 299407

NYOTE MNAKARIBISHWA "ADA ZETU NI NAFUU KABISA"

WAHI FURSA HII ............................SHULE IMEFUNGULIWA AREHE 9/01.2017 na masomo yamekwishaanza. 

Jumatano, 30 Novemba 2016

QUALIFYING TEST (QT) FORMAT



Introduction
The Qualifying Test examination will be administered to private candidates intending to sit for the Certificate of Secondary Education Examination (CSEE), but do not have Form II level secondary education.

The Qualifying Test will comprise questions from Civics, Cross Cutting issues, English Language, Kiswahili,  History, Geography, Biology, Chemistry, Mathematics and Physics. 

Qualifying Test draws as much as possible from the form I and II national syllabus but focus more on testing knowledge and skills equivalent to National Form II Examination. 

General Objectives
The main objective of the Qualifying Test is to determine whether the prospective candidates have attained secondary education equivalent to form two levels and thus are in a position to sit for the Certificate of Secondary Education Examination (CSEE). 

General Competences
The examination will specifically test candidate's ability to to:
  • Interpret basic knowledge, facts, principles, concepts, and figures in the stated subjects.
  • State, define and name basic knowledge, facts, principles, and concepts in the relevant subjects.
  • Write correct language using proper grammar, structure and vocabulary in the subject tested
  • Write a clear summary, answer comprehension questions and write a composition on a given passage, topic or subject.
  • Demonstrate and interpret mathematical knowledge within a given context and manipulate set theory and application, and carry out simple differentiation and integration.
  • Demonstrate use of knowledge and skills in Physics, Chemistry and Biology to solve problems which may involve unfamiliar situations.
  • Use knowledge, concepts, laws, theories and principles of the Physics, Chemistry and Biology subjects in daily life.


Examination Rubric
There will be one paper of three hours (3) hours duration. The paper will consist of 20 questions in sections A and B. Section A will comprise two parts. Part I will be on Civics and current affairs and Part II will be on English and Kiswahili languages. Candidates will be required to answer all questions in section A.
Section B will be consisting of three parts. Part I will be on History and Geography, part II on Physics and Mathematics and part III on Biology and Chemistry. Candidates will be required to confine themselves to one part only.

SECTION A: CIVICS, CURRENT AFFAIRS AND LANGUAGE
This section will comprise twelve (12) questions, and will weigh 60 marks.

PART I: CIVICS AND CURRENT AFFAIRS
In this part, question numbers one to three will be on Civics content based on forms one and two syllabuses and question number four will be on Current Affairs.

PART II: KISWAHILI AND ENGLISH LANGUAGE
Will consist of eight (8) questions, four (4) from Kiswahili syllabus and four (4) from English language syllabus for forms one and two.

English Language:
The English language component will comprise four (4) questions. One question will be on composition and another one on comprehension. The third one will be a multiple choice question consisting of five items on English patters. The fourth one will be of the fill-in-the-blanks type, dealing with tenses, and will have five items. Each question will carry 5 marks.

Kiswahili:
Kutakuwa na maswali manne (4) yatakayotoka katika mada za Kiswahili za kidato cha kwanza na kidato cha pili ambazo ni ufahamu, utungaji, sarufi na uundaji wa maneno. Kila swali litakuwa na alama tano (5).

SECTION B: GEOGRAPHY, HISTORY, PHYSICS, MATHEMATICS, BIOLOGY AND CHEMISTRY
Section B will comprise three (3) parts; each part will have four (4) questions and will weigh 40 marks. candidates will be required to confine themselves to only one part.

PART I: GEOGRAPHY AND HISTORY
Will comprise four (4) questions, two (2) questions will be on Geography and two (2) questions on History. Candidates will be required to answer all the questions in this part.

PART II: PHYSICS AND MATHEMATICS
Will comprise four (4) questions, two (2) questions will be on Physics and two (2) questions on Mathematics.

PART III : BIOLOGY AND CHEMISTRY
Will comprise four (4) questions, two (2) questions will be on Biology and two (2) questions on Chemistry.

Examination Content

Civics
  • Promotion of life skills and family life
  • Human rights and responsible citizenship
  • Government of Tanzania and Democracy
  • Proper behavior and responsible decision making
English
  • Comprehension and summary
  • Structure
  • Tenses
  • Comprehension
History
  • Evolution of man, technology and environment
  • Development of social, political system and economic activities in pre-colonial Africa and their impact.
  • Social and economic development in production in pre-colonial Africa
  • Africa and the external world
  • transition to industrial capitalism
Biology
  • Safety in our environment
  • Health and prevention of diseases
  • Cell structure and organization
  • Classification of living things
  • Nutrition
  • Balance of nature
  • Transport of materials in living things
  • Gaseous exchange and respiration

Kiswahili
  • Ufahamu na ufupisho
  • Sarufi
  • Fasihi
  • Utungaji
Geography
  • The solar system
  • weather and climate
  • Map work
  • Human activities
Chemistry
  • Laboratory techniques and safety
  • Scientific procedures
  • Matter
  • Air combustion, rusting and fir fighting
Physics
  • Laboratory
  • Structure
  • Work, energy, power, light and static electricity
  • Current electricity and magnetism
Mathematics
  • Number, fractions, decimal and percentages
  • Units, approximation and geometry
  • Ratio, profit and loss
  • Coordinates geometry, perimeters and areas.
ALL SUCCEED
………………………………………………….
DIRECTOR OF ERETO ACADEMY SCHOOL

Jumapili, 20 Novemba 2016

Kwa mafunzo zaidi tembelea link hii https://www.khanacademy.org/science/biology

  chagua (subject) juu kushoto baada ya hapo chagua somo unalotaka kwa ajili ya 

kukuongezea maarifa zaidi. usisite kutembelea blog hii mara kwa mara ili kupata link 

tofauti za kielimu.

Jumamosi, 19 Novemba 2016

NAFASI ZA MASOMO




ERETO ACADEMY SCHOOL INAPENDA KUWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO 

KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA HADI CHA NNE NA HASA KWA 

WALE WANAOJIANDAA NA KIDATO CHA TATU 2017(PRE FORM THREE)

MASOMO YATAANZA RASMI TAREHE 21/11/2016 KWA:

  • MATHERMATICS

  • GEOGRAPHY

  • PHYSICS

  • CHEMISTRY

  • KISWAHILI

  • CIVICS

  • HISTORY

  • BIOLOGY

  • ENGLISH

Ofa za Computer course na English course zitatolewa kwa wanafunzi wa

 kwanza kujisali.

TUNAPATIKANA KIMANDOLU KWA MWALIMU BIBI  MOLLEL AU KWA

 MAWASILIANO WAWEZA PIGA 0759060903/0755299407

MUDA WA VIPINDI NI KUANZIA SAA 12: 30 PM – 04: 30 PM

Nafasi za Masomo kwa Nussery School, Qualify Test (QT) na Private Candidate (PC) 2016/2017.



TANGAZO


ERETO ACADEMY SCHOOL inapenda kuwatanganzia nafasi za masomo
 kwa Nussery School, Qualify Test (QT) na Private Candidate (PC) 
2016/2017.


MAHALI: KIMANDOLU KWA MWALIMU BIBI MOLLEL

  •  Tunao waalimu wa masomo yote, Earlyhood Children Development Education na Masomo ya secondary kwa Qualify Test (QT) na Private Candidate (PC).
  •  English course itafundishwa mwanzoni kabla ya kuanza masomo.
  •  Tunatoa computer course.
  •  Masomo yataanza tarehe 15/01/2017.
  •  Ada zetu ni nafuu na ina lipwa kwa kila mhula fika ofisini kwetu kwa maelekezo zaidi
  •  Tumewaandalia wanafunzi wetu vitabu vya kusomea vyenye lugha nyepesi na rahisi kujifunzia.
  •  Wanafunzi wetu tumewaandalia mazingira mazuri ya kujisomea wakati wa darasani na nje ya darasa.
  •  Tunayo mazingira bora kwa wanafunzi kusomea na madarasa makubwa na yenye kuhimili idadi yoyote ya wanafunzi.
  •  Malezi bora ya watoto kimaadili ni sehemu ya majukumu yetu.
  •  Wanafunzi watakao fanya vizuri katika masomo yao watapata zawadi
  •  Viwanja mbalimbali na mipira vipo kwa ajili ya michezo.
  •  Chai itakuwepo kwa gharama nafuu.

Tupigie kwa simu namba: 0759 060 903 au 075 529 9407 au waweza fika ofisini kwetu shuleni .